KARIBU CHUO CHA UFUNDI STADI KIDT-MOSHI
KIDT - VOCTIONAL TRAINING CENTRE (KIDT-VTC MOSHI) Ni Chuo cha Serekali kinaendesha mafunzo ya ufundi stadi chini VETA. Chuo kipo Moshi Mjini –Barabara ya kuelekea TPC/GETI FONGA karibu na kiwanda cha Serengeti breweries . Chuo kinaendesha mafunzo kwa vijana na jamii ya wantanzaia na wanao toka njee ya nchi hswa Africa mashariki. CHUO KINAENDESHA FANI ZOTE ZA UFUNDI STADI KWA KWA WENYE ELIMU YA MSINGI HADI ELIMU YA CHUO: MAFUNZO YA MUDA MREFU(LEVEL1-3) -MWAKA 1 KILA LEVEL · UMEME WA MAJUMBANI ,MAGARI NA VIWANDANI. · UCHOMELEAJI NA UYEYUSHAJI WA VYUMA (welding). · UFUNDI WA MAGARI (Machenics) · UFUNDI UJENZI(Mason/Carpentry) · CILI ENGEENERING (UJENZI) · UFUNDI BOMBA (Plumbing) · INFORMATION AND COMMUNICATIONAL TECHNOLOGY-ICT (Tehama) · COMPUTER MAINTANANCE AND ELECTRONICS. (Ufundi computer na vif...
Comments
Post a Comment