TUNAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWAMWAKA 2020--2021
Chuo cha KIDT VTC MOSHI NA MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY (MIT) Tunawatangazia watanzania wote popote walipo ,kuwa tunatoa kozi zifuatazo zikiwa na uhakika wa kupata ajira kwenye nchi yetu ya Tanzania na mahali popote unapopenda kufanya kazi.
Kwa imani hiyo napenda kukufahamisha mhitimu kuanzia darasa la saba nakuendelea kuja kujiunga na KIDT VTC NA MIT ,Tupo :
KIDT VTC tupo moshi mjini barabara ya kuelekea GETI FONGA, Tunatazamana na Kiwanda cha Serengeti Brewaries Moshi mjini na MIT tupo mita 500 toka stand kuu ya mabasi moshi –Brabara ya AGHAKANI NA RINDI , Tunatazamana na UHURU PACK, AU Karibia na HOSPITALI YA KILIMANJARO ,
KWA MWAKA 2020 KUAZIA MWEZI HUU TUNATOA KOZI ZIFUATAZO;
1.KOZI YA UALIMU WA CHEKECHEA ( NURSERY TEACHING)
ADA : LAKI SABA(700,000/) KWA MWAKA na
unapelekwa field kujifunza kwa vitendo
2.KOZI YA HOTELI MENEJIMENTI(HOTEL
MANAGEMENT)
ADA : LAKI SABA(700,000/) KWA MWAKA na unapelekwa field kujifunza kwa vitendo na
kutafutiwa ajira malizapo.
3. KOZI YA UFUNDI
USHONAJI/CHEREHANI(TAILORING COURSE)
ADA: LAKI TATU (300,000) MIEZI SITA(6)
4. KOZI YA UHADHIRI ( SECRETARIAL
COURSE)
ADA: LAKI SABA (700,000) KWA MWAKA)
5.KOZI YA AWALI YA COMPUTER( COMPUTER AWERE COURSE)
ADA: LAKI MBILI(100,000) MIEZI MIWILI(2)
6.KOZI YA AWALI YA UDEREVA ( BASIC DRIVING
COURSE)
ADA: LAKI MBILI(200,000) MWEZI MMOJA (1).
7.KOZI YA KIINGEREZA ( ENGLISH
COURSE)
ADA: LAKI MOJA (100,000) MIEZI MITATU(3)
8. SPECIAL FORM 6 COMPUTER COURSE
For form IV -2016 to join our College with a minimum cost of 200,000/= for
three months plus Entrepreneurship Free course .
Tunawakaribisha wote CHUO CHA VICTORY AND FAITH VOCATIONAL TRAINING
KIDT NA MIT KIMESAJILIWA NA VETA KWA NAMBA
Tunatoa huduma ya mafunzo yanayomwezesha mwanachuo kujiajili au kuajiliwa baada
ya masomo .
Pia chuo kinautaratibu wa kumtafutia mwanafunzi field na kumuunganisha kwenye
ajira mara tu baada ya kumaliza mafunzo yake.
Chuo kinapokea wale wote wenye elimu ya darasa la saba na kuendelea
Hostel za kulala zipo,walimu wazuri na ada ni nafuu pia unayoweza kulipia
kidogo kidogo
Email: kidtcollege@gmail.com,
mitcomputingtz@gmal.com
MADA NA PROGRAM MUHIMU KWA KILA KOZI ATAKAZO JIFUNZA MWANAFUNZI
KOZI YA COMPUTER
1. Introduction
2. Tying Speed
3. Ms-Word Processor
4. Ms-Excel
5. Ms-Power Point
6. Ms-Publisher
7. Internet & Emai
KOZI YA UFUNDI USHONAJI (CHEREHANI)
1. Introduction ya mashine na vifaa vyake
2. Kupima nguo
3. Kukata nguo
4. Kushona nguo
5. Mitindo mbalimbali
UALIMU WA CHEKECHEA
1. Child Psychology
2. Child care and First Aid
3. Communication skills
4. Child Literature
5. Teaching methodology
6. Computer
KOZI YA SECRETARIAL
1. Office practice
2. Secretarial duties
3. Typing
4. Short hand
5. Communication skill
6. Computer
KOZ YA UJASILIAMALI
1. Dhana ya ujasiliamali
2. Kutengeneza sabuni
Kutengeneza dawa za chooni
Kutengeneza shampoo
Kutengeneza batiki
Kutengeneza Vikoi
JE UNAMALIZA FORM FORM SIX 2020 ?????? NJOO
USOME KOZI ZA
COMPUTER NA UJASIRIAMALI UKIWA UNASUBILI MATOKEO YAKO
HOSTEL ZA KULALA ZIPO KWA WANAOTOKA MBALI KWA GHARAMA NAFUU SANA
WAHI KUCHUKUA FOMU TSH.5,000/= MASOMO YATAANZA BAADA TU YA MITIHANI YA KUMALIZA
FORM SIX
MAWASILIANO
ReplyDeleteNO.0766 415 696 AU 0679 120 619
MKUU WA CHUO 0678 093637