Posts

Showing posts from November, 2020

TANGAZO KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE 2020

  JEE UMEHITIMU ELIMU YA MSINGI AU SEKONDARI??? JE WEWE NI MZAZI AU MLEZI MWENYE MTOTO UNAYE MUACHA NYUMBANI??? JE UNATAMBUA   KUWA MAISHA YAKO,YA NDUGU YAKO,RAFIKI ,MTOTO WA JIRANI,RAFIKI YAKO   AU YA MWANAO ANAHITAJI KUWA NA UJUZI    ??? HUWEZI KUJIAJIRI-AU KUAJIRIWA KAMA HUNA UJUZI    ???? CHUO CHA UFUNDI STADI KIDT VTC MOSHI KINATOA FURSA YA KUTOA MAFUNZO MAHIRI NA YANAYO LENGA VIJANA WA KITANZANIA. HAYA NI MAFUNZO YA KATI YA MIEZI 6 HADI MWAKA MMOJA KWA NGAZI YA LEVEL 1 NA PIA KWA WALE WANAO TAKA KUBOBEA NA TAALUMA ZAO ZA UFUNDI STADI BILA KUJALI KIWANGO CHA ELIMU AU UFAULU WAKO. USIPOTEZE NAFASI HII NJOO LEO NA UJIUNGE KWA GHARAMA KIDOGO SANA NA PUNGUZO LA HADI 50% CHAGUA KATI YA KOZI HIZI NA OMBA FORM KWA NJIA YA MTANDAO   - kidtcollege@gmail.com   AU WHATSAPP NO 0679 12 06 19 / 0717 157640 Chuo cha KIDT VTC   kipo MOSHI MJINI ,MKOANI KILIMANJARO ,TANZANIA KARIBU NA KIWANDA CHA SERENGETI BREWARIES MOSHI, Kwa sasa, zaidi ya wanafunzi 100 wamesajiliwa ka

KARIBU IDARA YA USHONAJI.MITINDO NA TEKNOLOJIA YA MAVASI KIDT

Image
  YA: UTOAJI WA HUDUMA YA USHONAJI NA UTENGENEZAJI WA NGUO ZA SEHEMU ZA KAZI NA UNIFORM: KIDT VTC   nitasisiyaserkaliiliyochiniyaofisiyamkuuwamkoawa Kilimanjaro. Miongonimwamajukumunakazizakenipamojanakutoamafunzoyaufundistadi,utenegezajinauzalsishajiwakazi za ki-0injinia,matofali,kuni nakazi za uchomeleaji. Kwa zaidiyamiakamiwilisasaidarayaushonanaubunifuwamitindoyanguoimekuwaikitoamafunzomahirinakupanuawigowaajirakwavijana. Pamoja nakutoamafunzoidara yet ina toa hudumazifuatazo. , ushonajiwanguo za mashulemi school uniform. Ushonajiwanguo za sehemu za kazi office uniform UshonajiwaNguo za waaendeshavyombovya moto driving and service uniform. Ushonajiwanguo za viwandaninagareji

TUNAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWAMWAKA 2020--2021

Image
  Bottom of Form KIDTKKIDT NA MIT Chuo cha KIDT VTC MOSHI NA MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY (MIT) Tunawatangazia watanzania wote popote walipo ,kuwa tunatoa kozi zifuatazo zikiwa na uhakika wa kupata ajira kwenye nchi yetu ya Tanzania na mahali popote unapopenda kufanya kazi. Kwa imani hiyo napenda kukufahamisha mhitimu kuanzia darasa la saba nakuendelea kuja kujiunga na KIDT VTC NA MIT ,Tupo : KIDT VTC tupo moshi mjini barabara ya kuelekea GETI FONGA, Tunatazamana na Kiwanda cha Serengeti Brewaries   Moshi mjini na MIT tupo mita 500 toka stand kuu ya mabasi moshi –Brabara ya AGHAKANI NA RINDI , Tunatazamana na UHURU PACK, AU Karibia na HOSPITALI YA KILIMANJARO   , KWA MWAKA 2020 KUAZIA MWEZI HUU TUNATOA KOZI ZIFUATAZO; 1.KOZI YA UALIMU WA CHEKECHEA ( NURSERY TEACHING) ADA : LAKI SABA(700,000/) KWA MWAKA   na unapelekwa field kujifunza kwa vitendo 2.KOZI YA HOTELI MENEJIMENTI(HOTEL MANAGEMENT) ADA : LAKI SABA(700,000/)   KWA MWAKA   na unapelekwa field kujifunza k
Image
 KIDT VTC MOSHI INAWAUNGANISHA VIJANA TANZANIA KIDT-VTC Toolboksi:  Ni Teknolojia inayowaunganisha vijana na fursa za ufundi stadi Tanzania. Ni jukwaa la mtandaoni linaliwawezesha vijana wenye ujuzi na stadi za ufundi kuwafikia watu wenye uhitaji wa kutengenezewa au kufanya marekebisho ya vifaa, ofisi na nyumba za kuishi.  Inasaidia kuongeza fursa za ajira kwa vijana waliobobea katika fani mbalimbali za ufundi.  Moja ya kibarua ilichonacho kampuni hiyo changa inakabiliana nacho ni kuhakikisha inakamilisha programu tumishi (app) ya huduma hiyo ili kuwafikia watu wengi.