KIDT VTC MOSHI INAWAUNGANISHA VIJANA TANZANIA

KIDT-VTC Toolboksi: 

Ni Teknolojia inayowaunganisha vijana na fursa za ufundi stadi Tanzania.

  • Ni jukwaa la mtandaoni linaliwawezesha vijana wenye ujuzi na stadi za ufundi kuwafikia watu wenye uhitaji wa kutengenezewa au kufanya marekebisho ya vifaa, ofisi na nyumba za kuishi. 
  • Inasaidia kuongeza fursa za ajira kwa vijana waliobobea katika fani mbalimbali za ufundi. 
  • Moja ya kibarua ilichonacho kampuni hiyo changa inakabiliana nacho ni kuhakikisha inakamilisha programu tumishi (app) ya huduma hiyo ili kuwafikia watu wengi.

 















Comments

  1. I got interested with the company,,,does it provide industry practical training for bachelor students?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

KARIBU CHUO CHA UFUNDI STADI KIDT-MOSHI

TUNAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWAMWAKA 2020--2021

KARIBU IDARA YA USHONAJI.MITINDO NA TEKNOLOJIA YA MAVASI KIDT