KARIBU CHUO CHA UFUNDI STADI KIDT-MOSHI
KIDT -VOCTIONAL TRAINING CENTRE (KIDT-VTC MOSHI)
Ni Chuo cha Serekali kinaendesha mafunzo ya ufundi stadi chini VETA.
Chuo kipo Moshi Mjini –Barabara ya kuelekea TPC/GETI FONGA karibu na kiwanda cha Serengeti breweries .
Chuo kinaendesha mafunzo kwa vijana na jamii ya wantanzaia na wanao toka njee ya nchi hswa Africa mashariki.
CHUO KINAENDESHA FANI ZOTE ZA UFUNDI STADI KWA KWA WENYE ELIMU YA MSINGI HADI ELIMU YA CHUO:
MAFUNZO YA MUDA MREFU(LEVEL1-3) -MWAKA 1 KILA LEVEL
· UMEME WA MAJUMBANI ,MAGARI NA VIWANDANI.
· UCHOMELEAJI NA UYEYUSHAJI WA VYUMA (welding).
· UFUNDI WA MAGARI (Machenics)
· UFUNDI UJENZI(Mason/Carpentry)
· CILI ENGEENERING (UJENZI)
· UFUNDI BOMBA (Plumbing)
· INFORMATION AND COMMUNICATIONAL TECHNOLOGY-ICT (Tehama)
· COMPUTER MAINTANANCE AND ELECTRONICS. (Ufundi computer na vifaa vya electronics).
· MAFUNZO YA USHONAJI NGUO NA MITINDO (Tailoring and clothe technology)
Ndugu, samahani nilikua nahitaji kujiunga hapo chuoni vp hatua zake
ReplyDeleteNilikua nahitaji kujiunga na chuo
DeleteMAWASILIANO
DeleteNO.0766 415 696 AU 0679 120 619
MKUU WA CHUO 0678 093637
Nilikuwa naomba kuuliza kama kunafani ya food production
DeleteNaweza kujiunga mwezi wa tatu au wa nne
ReplyDeleteHaukupata nambaaa
DeleteNataka kujiunga chuoni mwezi wa nne inawezekana??
ReplyDeletendio inawezekana
DeleteMAWASILIANO
NO.0766 415 696 AU 0679 120 619
MKUU WA CHUO 0678 093637
Nahitaji kujiunga na chuo chenu mwezi August , naomba anuani zetu , 0752513171
ReplyDeleteKuna fani ya umeme wa magari(auto electrical)?
ReplyDeleteFani ya umeme ipo KARIBU MAWASILIANO
DeleteNO.0766 415 696 AU 0679 120 619
MKUU WA CHUO 0678 093637
Naitaji maelekezo yakujiunga na chuo
ReplyDeleteKozi ya umeme wa magari inapatikana
ReplyDeleteKozi ya ufundi magari/mitambo inapatikana nataka kujiunga
ReplyDeletenahitaji kujiunga na chuo
ReplyDeleteKARIBU
DeleteMAWASILIANO
NO.0766 415 696 AU 0679 120 619
MKUU WA CHUO 0678 093637
Naombeni namba zenu nahitaji kujiunga na chuo
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMimi Emanuel Augustine naitaji kujiunga na ufundi wa computer na vifaa vya electronics mwaka huu 2021 je inawezekana 0625046033
ReplyDeleteNaombeni namba zenu nahitaji kujiunga chuo katika fani ya mechanical .
ReplyDeleteMAWASILIANO
DeleteNO.0766 415 696 AU 0679 120 619
MKUU WA CHUO 0678 093637
Samahan,naweza kujiunga mwezi gani??
ReplyDeleteNaomba kuulza gharama za mafunzo kwa mwaka
ReplyDeleteKwa laki saba
DeleteNahitaji kujiunga nachuo mwez huhu fani ya ushonaji he Hina wezekana
ReplyDeleteSifa za mwombaji
ReplyDeleteUwememaliza darasa lasaba na kuendelea MAWASILIANO
DeleteNO.0766 415 696 AU 0679 120 619
MKUU WA CHUO 0678 093637
Naomba kuuliza matokeo ya interview Yana toka lini
ReplyDeleteAda nishingapi,
ReplyDeleteADA lakisaba Kwa mwaka. MAWASILIANO
DeleteNO.0766 415 696 AU 0679 120 619
MKUU WA CHUO 0678 093637
Ada ni shilingi ngapi?
ReplyDeleteMAWASILIANO
DeleteNO.0766 415 696 AU 0679 120 619
MKUU WA CHUO 0678 093637