Posts

Showing posts from June, 2019

KWA NINI KIDT-VTC INAUWEZO WA KUBADILI MAISHA YAKO??

Image
KWA NINI KIDT-VTC   INAUWEZO WA KUBADILI MAISHA YAKO?? Þ   TUNA WAALIMU WENYE UWEZO. Þ   VIFAA VYA KISASA VYA   KUFUNDISHIA. Þ   KARAKANA NA MASHINE ZA MAZOEZI. Þ   KUWATAFUTIA WANAFUNZI SEHEMU   ZA MAZOEZI . Þ   KUWAUNGANISHA WANAFUNZI NA WA JIRI . Þ   KUTOA HUDUMA YA USHONAJI   BORA NA UBUNIFU. Þ   HOSTELI ZA KISASA ZENYE HUDUMA ZOTE.

UTARATIBU WA KUJUNGA NA MAFUNZO KATIKA CHUO CHETU

Image
·   CHAGUA FANI AU FIKA CHUONI   KUPATA MAELEZO. ·   UNAAZA MASOMO. ·   UKIHITAJI   HOSTEL ,UNAJAZA FORM NA KULIPIA   MUDA /MIHULA YA KUAZA KOZI/ NA MAFUNZO YA MUDA MREFU JANUARY :APRIL: JUNE NA SEPTEMBER KWA KOZI ZA MUDA MFUPI NI WAKATI WOWOTE NA MASOMO YANAAZA KILA MWAZONI MWA WIKI-JTATU: Pia chou kinaendesha mafunzo ya makundi mbalimbali kuboresha na kubobea katika fani zao. Tuna shona nguo za makundi kama wanafunzi,wafanyakazi hotelini, supermarkert, viwandani na maofisini.

FURSA ZA VIJANA KUPATA AJIRA NA KUJI-AJIRI

Image
K.I.D.T VTC TUNAWAPA VIJANA   FURSA YA AJIRA NA KUJI-AJIRI KATIKA FANI ZA UFUNDI STADI JIUNGE LEO KWA   MAFUNZO YA MUDA MREFU A U MFUPI : TUNA-ANDIKISHA ; : Þ   WAHITIMU WA SHULE ZA MSINGI Þ   WAHITIMU WA SHULE ZA SEKONDARI Þ   WAHITIMU WA VYUO NA ELIMU YA JUU Þ   WALIOJI-AJIRI KATIKA FANI ZA UFUNDI Þ   WAFANYAKAZI   WANAO HITAJI KUBORESHA FANI YAO: KARIBU KUJIUNGA NA KOZI MBALIMBALI KUTEKELEZA SERA YA VIWANDA NA AJIRA NA TUNA PUNGUZO LA 20% MWEZI HUU

KARIBU CHUO CHA UFUNDI STADI KIDT-MOSHI

Image
KIDT - VOCTIONAL TRAINING CENTRE  (KIDT-VTC MOSHI) Ni Chuo cha Serekali kinaendesha mafunzo ya ufundi stadi   chini   VETA. Chuo kipo Moshi Mjini –Barabara ya kuelekea TPC/GETI FONGA   karibu na kiwanda cha Serengeti breweries .  Chuo kinaendesha mafunzo kwa vijana na jamii   ya wantanzaia na wanao toka njee ya nchi hswa Africa mashariki.   CHUO KINAENDESHA FANI ZOTE ZA UFUNDI STADI KWA KWA WENYE ELIMU YA MSINGI HADI   ELIMU YA CHUO: MAFUNZO YA MUDA MREFU(LEVEL1-3) -MWAKA 1 KILA LEVEL ·   UMEME   WA MAJUMBANI ,MAGARI NA VIWANDANI.    ·   UCHOMELEAJI NA UYEYUSHAJI WA VYUMA (welding). ·   UFUNDI WA   MAGARI (Machenics) ·   UFUNDI UJENZI(Mason/Carpentry) ·   CILI ENGEENERING (UJENZI)   ·   UFUNDI BOMBA   (Plumbing) ·   INFORMATION AND COMMUNICATIONAL TECHNOLOGY-ICT (Tehama) ·   COMPUTER MAINTANANCE AND ELECTRONICS. (Ufundi computer na vifaa vya electronics). ·   MAFUNZO YA USHONAJI NGUO NA MITINDO (Tailoring and clothe technology)