UTARATIBU WA KUJUNGA NA MAFUNZO KATIKA CHUO CHETU


· CHAGUA FANI AU FIKA CHUONI  KUPATA MAELEZO.

· UNAAZA MASOMO.

· UKIHITAJI  HOSTEL ,UNAJAZA FORM NA KULIPIA

 

MUDA /MIHULA YA KUAZA KOZI/ NA MAFUNZO YA MUDA MREFU

JANUARY :APRIL: JUNE NA SEPTEMBER

KWA KOZI ZA MUDA MFUPI NI WAKATI WOWOTE NA MASOMO YANAAZA KILA MWAZONI MWA WIKI-JTATU:


Pia chou kinaendesha mafunzo ya makundi mbalimbali kuboresha na kubobea katika fani zao.

Tuna shona nguo za makundi kama wanafunzi,wafanyakazi hotelini, supermarkert, viwandani na maofisini.





Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

KARIBU CHUO CHA UFUNDI STADI KIDT-MOSHI

TUNAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWAMWAKA 2020--2021

KARIBU IDARA YA USHONAJI.MITINDO NA TEKNOLOJIA YA MAVASI KIDT