TANGAZO KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE 2020

 

JEE UMEHITIMU ELIMU YA MSINGI AU SEKONDARI???

JE WEWE NI MZAZI AU MLEZI MWENYE MTOTO UNAYE MUACHA NYUMBANI???

JE UNATAMBUA  KUWA MAISHA YAKO,YA NDUGU YAKO,RAFIKI ,MTOTO WA JIRANI,RAFIKI YAKO  AU YA MWANAO ANAHITAJI KUWA NA UJUZI   ???

HUWEZI KUJIAJIRI-AU KUAJIRIWA KAMA HUNA UJUZI   ????

CHUO CHA UFUNDI STADI KIDT VTC MOSHI KINATOA FURSA YA KUTOA MAFUNZO MAHIRI NA YANAYO LENGA VIJANA WA KITANZANIA.

HAYA NI MAFUNZO YA KATI YA MIEZI 6 HADI MWAKA MMOJA KWA NGAZI YA LEVEL 1

NA PIA KWA WALE WANAO TAKA KUBOBEA NA TAALUMA ZAO ZA UFUNDI STADI BILA KUJALI KIWANGO CHA ELIMU AU UFAULU WAKO.

USIPOTEZE NAFASI HII NJOO LEO NA UJIUNGE KWA GHARAMA KIDOGO SANA NA PUNGUZO LA HADI 50%

CHAGUA KATI YA KOZI HIZI NA OMBA FORM KWA NJIA YA MTANDAO  - kidtcollege@gmail.com

 AU

WHATSAPP NO 0679 12 06 19 / 0717 157640

Chuo cha KIDT VTC  kipo MOSHI MJINI ,MKOANI KILIMANJARO ,TANZANIA KARIBU NA KIWANDA CHA SERENGETI BREWARIES MOSHI,

Kwa sasa, zaidi ya wanafunzi 100 wamesajiliwa katika chuo chetu na walimu zaidi ya 12 na waalimu wa kujitolea zadi ya 6  wanafanya kazi hapo. Chuo kinapokea wanafunzi wa bweni na kutwa. Chuo kina uwezo wakupokea wanafunzi zadi ya 50 wa KOZI ZA MUDA MFUPI NA WANAFUNZI 50 WA KOZI ZA MUDA MREFU  kwa wakati mmoja.

MABWENI YETU NI YADHI YA JUU NA TUNATOA HUDUMA ZOTE MUHIMU KWA GAHARAMA MOJA: MWANAFUNZI ANWEZA KUISHI BWENI KUWZAI MUDA WA WIKI 2 HADI MWAKA MMOJA.

Sifa za Kujiunga na Chuo .

1.        Mwanafunzi aliyehitimu elimu ya msingi na kuendelea.

2.        Kwa kozi ya Hoteli na Utalii awe amehitimu kidato cha nne.

3.        Wafanyakazi wa ofisini,majumbani na waliojiajiri. 

Tunatoa kozi zifuatazo:

  • Mafunzo ya muda mfupi na Mrefu ya Computer. (miezi 2 hadi 6)
  • Ushonaji na Ubunifu wa nguo au mavazi (miezi 6 hadi miaka 2)
  • Ufundi umeme wa majumbani (miezi 6 miaka 2)
  • Mafunzo ya kompyuta na matengenezo (miaka 2)
  • Mafunzo ya Hoteli na Utalii (miezi 6 hadi miaka 2)
  • Mafunzo ya Uhazili (miezi 6 hadi miaka 2)
  • FITTER MECHANICS
  • MOTOR VEHICLE MECHANICS:
  • PLUMBING AND PIPE FITTING:
  • ELECTRICAL INSTALLATION:
  • CARPENTRY AND JOINERY
  • REFRIGERATION AND AIR CONDITION
  • MASONRY AND BRICKLAYING
  • DIESEL ENGINE MECHANICS
  • DESIGNING SEWING AND CLOTHING TECHNOLOGY
  • AUTO ELECTRIC
  • AE -Auto Electric
  • HW -Handloom Weaving
  • TG -Tour Guide
  • PPF -Plumbing & Pipe fitting
  • ICT -Information and Communication Technology
  • CJ -Carpentry and Joinery
  • IE- Industrial Electronics
  • CD -Civil Draughting
  • DSCT- Design Sewing and Clothing Technology
  • MTM -Machine Tool Maintenance
  • RAC -Refrigeration and Air Conditioning
  •  EL -Electrical Installation
  • SC -Secretarial Courses
  • ELEC -Electronics
  • MB -Masonry and Bricklaying
  • TEL -Telecommunication

Zaidi ya hayo, MASOMO YA KIINGEREZA, TECHNICAL DRAWING,ENTEREPRENUARSHIP, LIFE SKILLS NA ujuzi wa msingi katika MATUMIZI YA TEHAMA(COMPUTER NA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO)  

MAWASILIANO:

Anuani : S.L.P  8734, Moshi

Tel/Fax :     0272750531

Mobile        0766 415 696

Mobile        0655241914

Mkuu wa chuo  0678093637-

www.kit.ac.tz

 

 

.

 

Comments

Popular posts from this blog

KARIBU CHUO CHA UFUNDI STADI KIDT-MOSHI

TUNAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWAMWAKA 2020--2021

KARIBU IDARA YA USHONAJI.MITINDO NA TEKNOLOJIA YA MAVASI KIDT