Bottom of Form KIDTKKIDT NA MIT Chuo cha KIDT VTC MOSHI NA MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY (MIT) Tunawatangazia watanzania wote popote walipo ,kuwa tunatoa kozi zifuatazo zikiwa na uhakika wa kupata ajira kwenye nchi yetu ya Tanzania na mahali popote unapopenda kufanya kazi. Kwa imani hiyo napenda kukufahamisha mhitimu kuanzia darasa la saba nakuendelea kuja kujiunga na KIDT VTC NA MIT ,Tupo : KIDT VTC tupo moshi mjini barabara ya kuelekea GETI FONGA, Tunatazamana na Kiwanda cha Serengeti Brewaries Moshi mjini na MIT tupo mita 500 toka stand kuu ya mabasi moshi –Brabara ya AGHAKANI NA RINDI , Tunatazamana na UHURU PACK, AU Karibia na HOSPITALI YA KILIMANJARO , KWA MWAKA 2020 KUAZIA MWEZI HUU TUNATOA KOZI ZIFUATAZO; 1.KOZI YA UALIMU WA CHEKECHEA ( NURSERY TEACHING) ADA : LAKI SABA(700,000/) KWA MWAKA na unapelekwa field kujifunza kwa vitendo 2.KOZI YA HOTELI MENEJIMENTI(HOTEL MANAGEMENT) ADA : LAKI SABA(700,000/) KWA MWAKA na...
Comments
Post a Comment