TANGAZO KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE 2020
JEE UMEHITIMU ELIMU YA MSINGI AU SEKONDARI??? JE WEWE NI MZAZI AU MLEZI MWENYE MTOTO UNAYE MUACHA NYUMBANI??? JE UNATAMBUA KUWA MAISHA YAKO,YA NDUGU YAKO,RAFIKI ,MTOTO WA JIRANI,RAFIKI YAKO AU YA MWANAO ANAHITAJI KUWA NA UJUZI ??? HUWEZI KUJIAJIRI-AU KUAJIRIWA KAMA HUNA UJUZI ???? CHUO CHA UFUNDI STADI KIDT VTC MOSHI KINATOA FURSA YA KUTOA MAFUNZO MAHIRI NA YANAYO LENGA VIJANA WA KITANZANIA. HAYA NI MAFUNZO YA KATI YA MIEZI 6 HADI MWAKA MMOJA KWA NGAZI YA LEVEL 1 NA PIA KWA WALE WANAO TAKA KUBOBEA NA TAALUMA ZAO ZA UFUNDI STADI BILA KUJALI KIWANGO CHA ELIMU AU UFAULU WAKO. USIPOTEZE NAFASI HII NJOO LEO NA UJIUNGE KWA GHARAMA KIDOGO SANA NA PUNGUZO LA HADI 50% CHAGUA KATI YA KOZI HIZI NA OMBA FORM KWA NJIA YA MTANDAO - kidtcollege@gmail.com AU WHATSAPP NO 0679 12 06 19 / 0717 157640 Chuo cha KIDT VTC kipo MOSHI MJINI ,MKOANI KILIMANJARO ,TANZANIA KARIBU NA KIWANDA CHA SERENGETI BREWARIES MOSHI, ...